Friday, May 10, 2013

BEN POL , KALA JEREMIAH USO KWA USO NA WADAU WA MATUKIO BLOG


Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Ben Pol (kushoto) na Kala Jeremiah (kulia) wakiwa na mdau wa Matukio blog baada ya kutembelea na kufahamu ufanisi wa kazi wa blog hiyo


Wasanii wa muziki wa kizazi kipya wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Matukio blog baada ya kumaliza ziara yao

No comments:

Post a Comment