Thursday, May 09, 2013
BEN POL, KALA JEREMIAH WALIPOTEMBELEA MATUKIO
Kala Jeremiah na Ben Pol wakiwa na mdau wa Imma Matukio, Zourha Malisa walipotembelea studio za Matukio jijini Dar es Salaam leo. Wasanii hawa wameteuliwa katika vipengele mbalimbali vya kushindania katika tuzo za Kili Music Award.
Wapigie kura kwa kutuma namba zifuatazo kwenda 15345
BEN POL NI AA5 wimbo bora wa mwaka PETE
AB1 msanii bora wa kiume Bongo Fleva
AU3 Mtunzi bora Bongo Fleva
AF2 Msanii bora wa Kiume Jumla
BU3 Wimbo bora RnB MANENO
BU4 Wimbo bora RnB PETE
KALA JEREMIAH AA1 Wimbo bora wa mwaka DEAR GOD
AH3 Msanii bora wa HIP HOP
BT3 Wimbo bora wa HIP HOP
Mtunzi Bora wa HIP HOP
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment