Friday, May 10, 2013

MWANAFUNZI ALIPULIWA KICHWA NA POLISI


Mtoto wa miaka 9, Deo Jacob Mwita, aliyekuwa mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Rebu iliyoko Songambele, Tarime baada ya kupigwa risasi na polisi. Inasemekana polisi walikuwa katika harakati za kupambana na kuwakamata majambazi wanaosemekana husumbua watu mpakani..

No comments:

Post a Comment