Friday, May 10, 2013

HUU NDIO UANAMICHEZO WA KWELI

Mkimbiaji wa Kenya akijaribu kumpa maji mkimbiaji wa China baada ya kumuona anahangaika kunywa maji hayo. Tukio hili lilimsababisha Mkenya huyu kupoteza muda na kushindwa kushika nafasi ya kwanza hatimae kuwa wapili na kukosa kitita cha dola za Kimarekani 10,000 za ushindi.



No comments:

Post a Comment