Siku chache zilizopita wakili wa Rapa Lauryn Hill alikariliwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa mteja wake ameshalipa karibu dola 970,000 ya kodi aliyokuwa akidaiwa
Jaji wa kesi hiyo amemhukumu Lauryn kifungo cha miezi mitatu jela,pamoja na miezi 9 chini ya ulinzi akiwa nje kwa kosa la kushindwa kulipa deni la kodi
Wakati wa kusikiliza kesi hiyo Lauryn alijitetea kuwa alipotea kwenye biashara ya muziki lakini alidhamiria kujiweka sawa
No comments:
Post a Comment