Hatimaye Alicia Key amepata shavu la kuwa Mkurugenzi Mbunifu wa kampuni ya simu ya mkononi Blackberry
Wakati Alicia Key amepata shavu hilo, Blackberry teyari imetambulisha mfano wa bidhaa yake mpya ya simu baada ya uvumi wa muda mrefu
Wakati wakifanya utambulisho wa bidhaa hiyo, ndipo alipokuja na tangazo kubwa nyota huyo kama Mkurugenzi Mbunifu ili kuhakikisha bidhaa hiyo inakubalika sokoni kwa urahisi
No comments:
Post a Comment