Mbunifu wa mavazi (kulia) ni Mustaafa Hassanal akiwa sambamba na mbunifu mwenzie Ailinda Sawe katika onyesho la mavazi la Lady in Red wabunifu hao walionyesha kazi yao usiku huo |
Rose Anteloe akikabidhi cheti cha mbunifu chipukizi Lucky Peter ambapo alikabidhiwa usiku wa onyesho la Lady in Red |
Msanii wa bongo fleva Baby Madaha akicheza sambamba na wacheza shoo wake katika onyesho la mavazi la Lady in Red lililofanyika Serena jijini Dar es Salaam |
No comments:
Post a Comment