MUIMBAJI asiyeishiwa vituko Rihanna ameonekana kumtega mlinzi wake kwa kivazi alichotinga kilichomuonyesha sehemu kubwa ya mwili wake
Rihanna aliweza kugundua hilo na ndipo alipoamua kuanza kuishusha nguo yake 'gauni' lililokuwa linaonekana kupanda huku likiachia sehemu kubwa ya mwili wake
Rihanna ambaye ameanza kuizungumzia nyimbo yake ya 'Unapologetic', akiwa ameanza kufanya video shoot ameonekana akiwa amevaa gauni fupi jeusi
No comments:
Post a Comment