Tuesday, June 26, 2012

Baada ya Ajali Vijana Wavamia Gari



Gari liloungua likishughulikiwa na vijana wanaodhaniwa kuwa vibaka wakiiba vifaa mbalimbali ikiwemo injini jana. Gari hilo liliungua vibaya na kuteketea kama linavyoonekana juu pichani katika maeneo ya Mivinjeni barabara ya Kilwa jana. Gari hilo la garama aina ya Mercedes Benz lilikuwa linaendeshwa na mwanamke ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja.
Picha na Dorin Mchau


No comments:

Post a Comment