Monday, February 12, 2018

TUKIO LA HISTORIA: MALKIA WA UINGEREZA AMUINAMIA MFALME WA AFRICA

TUKIO LA NADRA 





Fahamu kuwa katika historia Malkia wa Uingereza, Elizabeth wa Pili hakuwahi kumuinamia mtu yoyote duniani isipokuwa Malkia Menen Asfew na mumewe Ras TaFari Makonnen Woldemikael Haile Selassie I wa Ethiopia.


Pichani ni Malkia Elizabeth na mumewe Philip wakiwainamia Mtawala Menen Asfew na mumewe Ras TaFari Makonnen Woldemikael Haile Selassie I, tukio hili lilitokea mwaka 1965, mwezi februari, wakati Malkia Elizabeth II alipoitembelea Ethiopia baada ya ziara iliyofanywa na Mtawala wa Ethiopia alipoitembelea Uingereza wakati Sir Winston Churchill alipokuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo.






No comments:

Post a Comment