
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akisalimia baadhi wa wana CCM waliofurika katika ukumbi wa Tawi la CCM Mwinjuma, Mwananyamala jijini Dar es Salaam, ambao walifika kumlaki katika mapokezi yaliyoandaliwa na Jumuiya hiyo mkoa wa Dar es Salaam, jana.

Gari la Dk. Mndolwa likiwasili lango Kuu la Ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam wakati wa mapokezi hayo

Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania-Zanzibar Abdallah Haj Haidar akimpokea Dk Mndolwa kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk Edmund Mndolwa, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Sylivia Magdalena Kamba alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo

Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk Edmund Mndolwa, akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Saad Kusilawe, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo

Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk Edmund Mndolwa, akisalimiana na Katibu wa Jumuiya hiyo mkoa wa Dar es Salaam Lugano Mwafongo, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo

Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk Edmund Mndolwa, akisilindikizwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Sylivia Magdalena Kamba kwenda kusaini vitabu wa wageni na kuzungumza na uongozi, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo

Dk. Mndolwa akisaini kitabu wa wageni katika Ofisi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam alipowasili. Kulia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi mkoa huo, Frank Kalokola Kamngisha

Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania-Zanzibar Abdallah Haj Haidar akisaini kitabu cha wageni, huku Dk. Mndolwa akiendelea kufanya hivyo pia.

Abdallah Haj Haidar akisalimia

Mama Patricia Rukia Mndolwa akisalimia

Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania-Bara Burhan Rutta akisalimia

Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Kusilawe akisalimia

Kalokola akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, amkaribishe Dk. Mndolwa kuzungumza na Uongozi

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Sylivia Magdalena Kamba alizungumza kabla ya kumkaribisha Dk Mndolwa kuzungumza

Kate Kamba akimkaribisha Dk Mndolwa kuzungumza na uongozi

Dk. Mndolwa akizungumza na Uongozi

Mwafongo na Katibu wa CCM Kata ya Ilala Habib Nasser ambaye pia ni Mjumbe wa Baraza Kuu Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, wakitoka nje kumsubiri Dk Mndolwa kutoka nje tayari kwa safari ya kwenye kwenye eneo kuu la mapokezi ukumbi wa CCM Mwinjuma Mwananyamala

Gari lilobeba Dk Mndolwa likiwasili kwenye Viwanja vya Ofisi ya Tawi la CCM Mwinjuma

Kijana wa CCM akimvisha Skafu Dk. Mndolwa baada ya kuwasili CCM Mwinjuma

Dk. Mndolwa akipokea kwa ukakamavu saluti ya kijana wa CCM baada ya kuvishwa skafu

Dk Mndolwa akiongozana na baadhi ya viongozi kwenda eneo la tukio

Dk Mndolwa akisalimia baadhi ya wana CCM wakati akienda ukumbini

Dk Mndolwa akisalimia baadhi ya viongozi wakati akienda ukumbini

TOT wakitumbuiza kumlaki ukumbini Dk. Mndolwa

Dk. Mndolwa akienda meza kuu

Dk. Mndolwa na Makamu wake- zanzibar wakiwa tayari meza kuu

Viongozi wa meza kuu wakiungana na Dk Mndolwa kushangilia baada ya kuwasili eneo hilo

Mmoja wa viongozi katika Baraza la Wazee wa jumuiya ya Wazazi Mzee Mkali akisalimia

Katibu wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Mwafongo akifanya utambulisho wa viongozi ndazi ya mkoa

Viongozi ndazi ya mkoa wakisalimia baada ya kutambulishwa

Baadhi ya viongozi waliohudhuria mapokezi hayo wakiwa ukumbini

Naibu Katibu Mkuu wa Jumuia ya wazazi Tanzania Ndugu Rutta akitambulisha viongozi ngazi ya taifa

Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi tanzania Seif Shaban Mohammed akifafanua maana na umuhimu wa neno 'Mapinduzi' baada ya kutambulishwa

Ndugu Mwafongo akiendeleza ratiba

Mwenyekiti wa CCM Temeke ndugu Almish akizungumza baada ya kutambulishwa

Ndugu Kalokola akizungumza kumtambulisha Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania-Zanzibar Ndugu Haj

Kakamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania-Zanzibar Ndugu Hajj akizungumza

Shabiki wa CCM akimuombea maisha marefu na uongozi bora Dk. Mndolwa tukio ambalo lilikuwa la ghafla

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Sylivia Magdalena Kamba akizungumza kabla ya kumkaribisha Dk. Mndolwa kuzungumza na hadhara

Omar Kimbau aliyewahi kuhamia CUF akitangaza kurudi CCM mbele ya Dk. Mndolwa

Dk. Mndolwa akimpongeza Kimbau kwa kuzinduka na kurejea CCM

Dk. Mndolwa akihutubia kweye mapokezi hayo
CHAKULA CHA JIONI SERENA HOTEL

Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Mwafongo akiwakaribisha Dk. Mndolwa na Mkewe walipowasili hoteli ya Serena kwa ajili ya chakula cha jioni

Mwafongo akiwaongoza kwenda eneo la kuketi

Dk. Mndolwa akimsalimia Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Kalokola

Dk Mndolwa akimsalimia Ndugu Kizigha

Makamu Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania- Zanzibar Ndugu Hajj akimsalimia Mama Mndolwa

Dk Mndolwa akizungumza jambo wakati wakisubiri muda wa chakula

Ndugu Mwafongo akiwa amesimama kuwakaribisha rasmi waalikwa wote













No comments:
Post a Comment