Sunday, July 23, 2017

TAMASHA KUBWA LA CASTLE LITE UNLOCKS LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM


Msanii Vanessa Mdee akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.

Msanii Diamond Platinumz akiwa katika jukwaa la castle lite unlocks akiwakonga wapenzi wa burudani usiku wa kuamkia leo

Msanii Casper Nyovest akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.

Msanii toka Marekani FUTURE akiwa jukwaani kwenye tamasha kubwa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo
Msanii toka Afrika kusini Casper Nyovest akifanya mahojiano na waandishi wa habari wakiongozwa na Taji Liundi pembeni yake usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha kubwa la castle lite unlocks viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam
Wasanii Nevy Kenzo wakizungumza na waandishi wa habari kwenye tamasha la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo
Msanii Diamond akizungumza na waandishi wa habari wakiongozwa na Taji Liundi kabla ya kupanda kwenye jukwaa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo
Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders
Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders
Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders




































No comments:

Post a Comment