Saturday, April 23, 2016

USAFI WASHIKA KASI DAR

Katika kuhakikisha kuwa Jiji la Dar es Salaam linakuwa safi, Manispaa ya Ilala imethubutu kwa kuanza kukata miti ambayo imekuwa ikihatarisha usalama wa wananchi wakiwemo wapita njia na magari, kama picha inavyoonyesha usafi ukifanyika katika moja ya mitaa wa Samora 23 Aprili, Jijini Dar es Salaam. (Maelezo)

No comments:

Post a Comment