
Mjumbe wa NEC na Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Makao Makuu ya CCM, Kilumbe Ng'enda akizungumza kumsafishia njia Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bomambuzi, eneo la Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro Mjumbe wa NEC na Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Makao Makuu ya CCM, Kilumbe Ng'enda akizungumza kumsafishia njia Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bomambuzi, eneo la Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Iddi Juma akimkaribisha kuzungumza Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanajaro leo. Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akipanda jukwaani kuhutubia mkutnao wa hadhara uliofanyika eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanajaro leo Msemaji Mkuu wa CCM, Christpher Ole Sendeka akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bpmambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro Mfanyabiashara katika soko la Pasua, akimsikiliza kwa makini Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka wakati wa mkutano wa hadahara uliofanyika eneo la Bomambuzi, mjini Moshi mkoani Kilimanajaro leo. Wananchi wakimsikiliza Msemaji Mkuu wa CCM, Christpher Ole Sendeka alipohutubia mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bpmambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro Wananchi wakimshangilia Msemaji Mkuu wa CCM, Christpher Ole Sendeka alipohutubia mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bpmambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro "Baada ya kumalizika uchaguzi Mkuu na CCM kupewa idhini na wananchi kuunda serikali ya kuongoza nchini, sasa ilani hii ndiyo inayotekelezwa nchini kote" akisema Msemaji Mkuu wa CCM, Christpher Ole Sendeka huku akionyesha kitabu cha ilani hiyo, alipohutubia mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bpmambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro Mmoja wa wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara uliofanywa na Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka akionyesha hisia zake za kuvutiwa na hotuba. Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka akionyeshana jambo na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Juma Raibu, kenye mtandao kupitia simu, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo. Raibu ambaye alikuwa mgombea wa Udiwani Kata ya Bomambuzi, alimweleza Ole Sendeka kuwa ameibuka mshindi katika kesi ya kupinga matokeo Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka akiwaaga wananchi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara aliofanya eneo la Bomang'ombe, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanajaro leo. Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka akiwaaga wananchi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara aliofanya eneo la Bomang'ombe, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanajaro leo.
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)

















No comments:
Post a Comment