Thursday, April 28, 2016

CHADEMA WASAINI MAKUBALIANO CHAMA CHA CENTRE PARTY CHA NORWAY


Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Vincent Mashinji (kulia) pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Centre Party cha Norway, Knut Olsen (kushoto) wakitia saini makubaliano ya awamu ya pili ya ushirikiano baina ya pande hizo mbili katika Mradi wa Elimu ya Demokrasia, leo jijini Dar es Salaam katika Ofisi ya Makao Makuu ya CHADEMA. Mradi huo unaohusisha vyama vyote vyenye uwakilishi bungeni kupitia Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) unaendelea katika kata za Wilaya ya Mtwara Vijijini.

No comments:

Post a Comment