Wabunge Vijana kutoka Nchi Mbalimbali wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa Mkutano wa Wabunge Vijana kutoka Mabungu yote Duniani unaofanyika sambamba na Mkutano wa134 wa Umoja wa Mabunge Duniani ( 34th Inter- Parliamentary Union) unofanyika Lusaka Nchini Zambia wiki hii.
Spika wa Zambia Mhe. Patrick Matibini akifungua Mkutano wa Wabunge Vijana kutoka Mabungu yote Duniani unaofanyika sambamba na Mkutano wa134 wa Umoja wa Mabunge Duniani ( 34th Inter- Parliamentary Union) unofanyika Lusaka Nchini Zambia wiki hii.
Picha na Owen Mwandumbya
No comments:
Post a Comment