Friday, January 22, 2016

RAIS SHEIN ATOA MKONO WA POLE KWA WAFIWA NYUMBANI KWA MAREHEMU

JUU: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Viongozi wa Serikali wakiuombea dua Mwili wa Marehemu Asha Bakari Makame walipofika nyumbani kwa marehe kuwafariji wafiwa wakati wa maziko hayo yaliofanyika katika Mtaa wa Jangombe.Unguja leo.

CHINI: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimfariji Mama wa Marehe Bi Mwanajuma Faki alipofika kutowa mkono wa pole kwa wafiwa nyumbani kwao Jangombe Unguja.




No comments:

Post a Comment