Mabehewa ya treni inayofanya safari za jijini Dar es Salaam, yakiwa yameachwa katika makutano ya barabara ya Bibi Titi Mohammed na Mtaa wa Lugoda eneo la Gerezani, baada ya kuacha njia. Tukio hilo limetokea leo asubuhi na kusababisha kufungwa kwa upande mmoja wa barabara ya kuelekea Tazara na kulazimu watumiaji barabara kuchangia barabara moja ambapo ni upande wa kuelekea Mnazi Mmoja. (picha na Pennina Malundo)
No comments:
Post a Comment