Pongezi nyingi kwa Basilla Mwanukuzi (Miss Tanzania 1998) kwa kutunukiwa stashahada ya uzamili -PGD katika menejimenti ya uhusiano wa kimataifa jana tarehe 13th January 2016 katika chuo cha diplomasia Dar es salaam ambapo mgeni rasmi alikua Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kikanda, Afrika na Kimataifa
No comments:
Post a Comment