Monday, November 23, 2015

BREAKING NEWS:SHEREHE ZA UHURU KUTOFANYIKA MWAKA HUU



“Rais Dr. John Pombe Magufuli ameamuru kuwa siku ya Uhuru yaani 9 December hakutakuwa na shamra shamra zozote watu wote watafanya usafi wa mazingira ili kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu kwa maana hiyo hakutakuwa na sherehe za magwaride katika uwanja wa Uhuru kama ilivyozoeleka” amesema Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipofanya ziara katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo

No comments:

Post a Comment