Monday, September 14, 2015

BONAH KALUWA AFUNGUA KAMPENI DHIDI YA UKATILI WA JINSIA DAR ES SALAAM LEO

Mwanaharakati wa kutetea wanawake na mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bonah Kaluwa (kulia), akizungumza na wanawake wakati akifungua kampeni ya kupinga ukatili wa jinsia dhidi ya wanawake katika Soko la Tabata Muslim lililopo mtaa wa Msimbazi, Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Mjumbe wa mtaa huo, Tatu Lazaro na Mwenyekiti wa mtaa huo, Beatries Mkama.

SOMA ZAIDI...Wanafunzi na wakazi wa Tabata Muslim wakiwa kwenye mkutano huo.
Meza kuu inavyoonekana katika ufunguzi wa kampeni hiyo.Mgeni Rasmi Bonah Kaluwa akiwa meza Kuu.
Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na wadau wapinga ukatili wa kijinsia masokoni.


No comments:

Post a Comment