Friday, June 13, 2014

MWILI WA MAREHEMU TYSON SAFARINI KUELEKEA SIAYA TAYARI KWA MAZISHI

Ndugu jamaa na marafiki wakiwa wamebeba jeneza la Marehem George Tyson wakati wanautoa mwili wa marehemu kutoka chumba cha kuhifadhia maiti leo asubuhi tayari kwa safari ya kuelekea Siaya kwaajili ya mazishi.
  




Waombolezaji wakati wakijianda kuelekea Siaya, eneo ambalo atazikwa marehem George Tyson.







No comments:

Post a Comment