Monday, June 02, 2014

MAPENZI YA MAMA NI YA KWELI, ANGALIA HII PICHA INA UJUMBE KWENU WOTE

Hapo juu ni picha ya kobe mzazi mwenye umri wa miaka 140, akiwa amembeba mwanae wa kiume mwenye umri wa siku tano katika bustani ya wanyama Nyiregyhaza, iliyoko nchini Hungary

No comments:

Post a Comment