Rais wa Brazil, Dilma Rousseff akipokea kombe la dunia rasmi kutoka kwa Rais wa shirikisho la kimataifa la soka duniani(FIFA) Joseph Sep Blatter, huku akishuhudiwa na Waziri wa Michezo wa Brazil. Mashindano hayo yanatakiwa kuanza wiki ijayo juni 12, 2014
No comments:
Post a Comment