Sunday, June 01, 2014

BREAKING NEWS: MAMA YAKE MH. ZITTO AMEFARIKI DUNIA



Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mama mzazi wa Mh Zitto Kabwe ambaye alikuwa mjumbe wa kamati kuu wa CHADEMA, Bi Shida Salum amefariki, Imma Matukio inatoa pole kwa Mh.Zitto na Familia nzima,pamoja na wana CHADEMA kwa kupatwa na msiba mzito.

Innah lillaah wainah illaih rajiun





No comments:

Post a Comment