Watu mbalimbali wenye ulemavu wa viungo jijini Dar es salaam leo wamefunga barabara ya Kawawa na Uhuru, katika eneo la Mkuu wa Mkoa toka saa tano asubuhi wakidai haki yao ya kupatiwa maeneo ya kufanya biashara kwa madai kuwa Machinga Complex hawaitaki kwani sio eneo la biashara. Hiyvo wamedai kupatiwa eneo la Karume ili kujipatia kipato cha kuendesha maisha yao.
No comments:
Post a Comment