Monday, May 26, 2014

NDOA YA KANYE WEST NA KIM KARDASHIAM YAFUNGWA ITALY (PICHA)

Mzee Mzima Kanye West hatimaye amekamilisha lengo lake baada ya kuvuta jiko na kukamilisha kwa sherehe ya kufa mtu iliyofanyika katika jiji la mahaba, Florence nchini Italy.

Kanye na Kim Kardashian rasmi wamekuwa mke na mume baada ya wapenzi hao kuapa na kula kiapo cha ndoa rasmi huko Italy, mjini Florence siku ya jumamosi 24/05/2014 katika jengo la Fort di Belvedere.

Hii itakuwa ni ndoa ya kwanza ya Kanye wakati ikiwa ni ndoa ya tatu ya Kim Kardashian. Ni matumaini yetu hii itakuwa ndio ndoa ya mwisho kwa wawili hao na kwamba itadumu vizuri.

Angalia picha . . .






No comments:

Post a Comment