Mwandishi na mshairi mkongwe Marguetie Ann Johnson, maarufu
kama Maya Angelou amefariki jana tarehe 28/05/2014 akiwa na umri wa miaka 86.
Maya aliandika tawasifu (Autobiographies) 7, insha zenye maelezo marefu 3
(Essay) na mashairi kadhaa zilizoambatana na maigizo kadhaa, sinema pamoja na
vipindi vya runinga.
Aliwahi kupata tuzo kadhaa ikiwa ni pamoja na shahada za
udaktari zaidi ya 30.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
No comments:
Post a Comment