Malori mawili yote aina ya Fuso yakiwa yamefunga njia katika barabara ya kuelekea Liwale, karibu na vijiji vya Nachingwea eneo la Namikange, Wilaya ya Liwale baada ya kukwama kwenye tope lilisababishwa na mvua kali zinazoendelea nchini na kusababisha magari yanayoingia na kutoka Liwale kushindwa kuendelea na safari na hatimaye abiria kulala barabarani.
No comments:
Post a Comment