ANGALIA ZAIDI. . .
Msanii wa vichekesho nchini akijitambulisha kwa mtindo wa kucheza sebeneMama yake Kanumba, Flora Mutegoa akiwa amenyanyua juu kitabu kama ishara ya uzinduzi wa Kanumba Foundation, sambamba na rais wa filamu Simon Mwakifamba wakiwaonesha mashabiki waliohudhuria uzinduzi huo huku baadhi ya wasanii wakishuhudia zoezi hilo
No comments:
Post a Comment