Wednesday, April 30, 2014

ROSE NDAUKA NDIE MSANII BORA TENA ANYAKUA TUZO ZA ZIFF TENAMsanii wa Bongo Movies Rose Ndauka kwa mara nyingine tena ameshinda katika tuzo za ZIFF na kunyakua tuzo ya Best Female Actress katika sinema aliyoandika yeye na mumewe, Malik Bandawe. Ijulikanayo kama Waiting Fall

ZIFF au Zanzibar International Film Festival, ni tamasha la filamu linalofanyika kila mwaka na kuhusisha wasanii kutoka kona mbalimbali duniani.

Imma Matukio inatoa pongezi nyingi kwa Rose kwa mafanikio yake.
No comments:

Post a Comment