KIM KARDASHIAN APAMBAMBANA NA TEMBO ONA PICHA HAPA
Kim Kardashian ambaye kwa sasa yuko Thiland katika mapumziko
akiambatana na familia yake aliponea chupu chupu kushambuliwa na tembo
alipokuwa akijipiga picha mbele ya tembo huyo.
Alistukia mkonge wa tembo uko mgongoni mwake na kugusa
nywele zake. Aliruka na kutimua mbio huku mama yake akiwa amesimama pembeni
akiangua kicheko, nan do ukawa mwisho wa kumsogelea tembo huyo. Hahahahaaaaa…
angalia picha hizi
No comments:
Post a Comment