Mafuriko ya mvua kali bado yanaitesa Dar Es Salaam, hili ni eneo linalouza tiketi za mabasi yanayokwenda mikoani, haswa kusini mwa Tanzania, likiwa limezingirwa na maji na kusababisha ugumu wa wananchi kupata huduma hiyo, eneo la Mbagala Mwisho.
TAFADHALI TOA MAONI YAKO HAPO CHINI. . .
No comments:
Post a Comment