BREAKING NEWS:
Taarifa zilizotufikia hivi punde zimesema kuwa watu wasiojulikana wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia benki ya Barclays tawi la Kinondoni na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake haijajulikana mara moja.
Tukio hilo limetokea muda wa saa nne , katika tawi hilo iliyopo Kinondoni karibu na Bakwata likihusisha watu watatu waliokuwa na pikipiki mmoja wao akiwa na bastola.
TAFADHALI SHUSHA MAONI YAKO CHINI. . .
No comments:
Post a Comment