Tuesday, March 25, 2014

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA WAELIMISHA JAMII KUHUSU AFYA


Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema,(katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa bonanza ya kutoa elimu kujua afya, kuliani Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Hamisi Mdee, kushoto ni Mkurugezi wa masoko na utafiti, Raphael Mwamoto, (wapili kushoto) wakishuhudia ni Ofisa Masoko na Elimu kwa Umma, Grace Michael, na Rehani Athumani. Bonanza hiyo imeandaliwa na Taasisi ya hiyo, Dar es Salaam leo.



JUU na CHINI: Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema,(kulia) akifanya vipimo  mbalimbali vya afya kutoka kwa Ofisa Muuguzi Daraja II (RN) Margareth Kuhanwa, Kutoka hospitali ya Mbagala Rangi Tatu, muda mfupi baada ya kuzindua bonaza ya kutoa elimu kujua afya, iliyo andaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)





No comments:

Post a Comment