Pia alimshambulia kijana mdogo aliyekuwa anamtania msichana wake kwa kumuita majina ya ajabu mbele yake. Yote tisa, kumi ni kile kibano alichompa mwandishi wa habari uwanja wa ndege alipowasili Los Angeles mwaka jana.

Alimshambulia Ramos na kumpiga katika uwanja wa ndege wa LAX mwezi agosti mwaka jana sababu paparazzi huyo alikuwa anampiga picha.
Zaidi ya hilo Kanye pia ametakiwa kuhudhuria vipindi 24 vya tiba ya hasira (anger management sessions), pamoja na miaka 2 ya huduma kwa jamii. Anatakiwa kujipeleka mwenyewe polisi ili apangiwe utaratibu,
No comments:
Post a Comment