Katika ajali hiyo ambayo imedaiwa kuwa chanzo chake ni mwendo
kasi ambapo dereva wa basi la kampuni ya Maning Nice lenye usajili T624CQD aina
ya Chong Tong, basi hilo linafanya safari kutoka Dar Es Salaam kwenda Mtwara
alishindwa kukwepa pikipiki iliyokuwa imebeba wanaume wawili, kuwagonga na
kufariki hapo hapo.
Ajali hiyo ilitokea leo saa 7.30 mchana katika kijiji cha
Ngongo, Manispaa ya Lindi Mjini, Mkoa wa Lindi wakati basi hilo likielekea
Mtwara.
No comments:
Post a Comment