Tuesday, February 25, 2014

LIVE JIBABA LINAPOKULA BAKORA KWA UZINZI





Kijana mmoja wa kiislamu, Mallam Sanusi (pichani) alicharazwa bakora 24 kwa madai ya kulala na mwanamke ambaye hajaolewa. Kijana huyo alidaiwa kuzini jambo ambalo ni kosa katika jamii na linaadhibiwa kwa kuchapwa viboko.

Kwa mujibu wa mitandao ya jamii, tukio hilo lolitokea katika nyumba za madanguro eneo la Abaganaram, eneo la Maiduguri, huko jimbo la Borno Nigeria.

No comments:

Post a Comment