Wednesday, February 19, 2014

KUFURU: AJICHUA MARA 56, UUME WANYOFOKA, AWEKA REKODI YA DUNIA

Siku ya wapendanao ya Valentine iliisha kwa janga la ajabu baada ya kijana mdogo kujikuta akipoteza maisha baada ya kupiga nyeto mara 56 na kuweka rekodi ya dunia.

Kijana mkazi wa Portland, Oregon nchini Marekani, alifanya kitendo hicho mfululizo kwa mara 56 bila kusimama na kusababisha uume wake kunyofoka na kisha kupata mshtuko wa moyo na kupoteza maisha.
Kwa mujibu wa Huzler Reporters, Jerome Carpenter (pichani Kulia) alikutwa amekufa chumbani, inavyoonekana, baada ya kupiga punyeto kupita kiasi. Inadaiwa kuwa kijana huyo ambaye alikuwa na umri miaka isiyozidi 18 alikuwa na msongo wa mawazo uliosababishwa na upweke katika siku hiyo ya wapendanao.

SOMA ZAIDI . . .
Mama yake Jerome aliita polisi wa mji wa Portland baada ya kugundua maiti hiyo ndani ya chumba. Mama huyo aliwaambia waandishi wa habari wa gazeti la Huzler kwamba “saa moja ilipita baada ya kumuita aje kula chakula cha mchana,
Jerome alikuwa mtoto mcheshi sana, angeweza kukudokolea chakula mezani ukigeuka tu, nilijua kuna tatizo wakati hakutokea kula chakula, alikuwa mdogo tu” aliongea mama huyo huku akilia kwa uchungu.
Polisi walifika saa moja baada ya Bi Carpenter kuwaita. Afisa wa police, Dean Marrow aliwaambia waandishi wa Huzler walichokiona baada ya kufungua chumba hicho.
“Bwana mdogo alikuwa kitandani…uume wake ukiwa umetengana na mwili wake, inaelekea alitumia nguvu sana mpaka akajinyofoa, tulikuta uume wake umeng’ang’ania kwenye mkono wake wa kushoto tukashindwa kuutoa, inasikitisha sana” alieleza Ofisa Dean.
Wachunguzi wanachunguza tukio hilo kwaajili ya kupata maelezo zaidi, Jerome anatarajiwa kuzikwa wiki hii.



No comments:

Post a Comment