Maulid
ya kuadhimisha mazazi ya Mtume ( S.A.W) yatafanyika Jumatatu usiku -BAKWATA
MAULID ya kuadhimisha mazazi ya Mtume(S.A.W) yanatarajiwa
kusomwa usiku wa Jumatatu tarehe 13.1.2014.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Baraza
Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) kitaifa maulid itasomwa Kigoma Mjini baada ya Swala ya I’sha.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa baraza la maulid litafanyika saa
tisa alasiri (9.00) mjini Kigoma siku ya Jumanne ya tarehe 14.1.2014 ambapo pia itakuwa siku ya mapumziko(Public
Holiday)
Ndugu sijakupata vizurijuu ya mazazi ya mtume na kupumzika. Mapumziko yatakuwa jumatatu na Jumanne au Jumatatu ni kwenda kazini tu?
ReplyDeletekwa mujibu wa hiyo taarifa ni kwamba maulid itasomwa kesho usiku, kwa maana hiyo kazini kama kawaida kesho. ispokuwa jumanne ndo sikukuu maana ake hakuna kazi...
ReplyDelete