Thursday, November 07, 2013

MASOGANGE AJITOKEZA AKIWA NA VAZI LA UFUKWENI

Baada ya kuachiwa kwa dhamani kutokana na kesi iliyokuwa ikimkabili ya kudaiwa na kukutwa na chemichali bashilishi za kutengenezea dawa za kulevya Agnes Masoganga apiga picha akionekana akiwa na vazi la ufukweni.

Picha hizo mwanadada huyo alizituma katika ukurasa wake wa Istagram ambapo amesabisha kuzua mijadala mbalimbali.

No comments:

Post a Comment