Monday, October 28, 2013

JAMAL MALINZI RAIS MPYA TFF


Tanzania imepata Rais mpya wa Sirikisho la Soka Tanzania, Tanzania Football Federation (TFF). Matokeo hayo ni baada ya kumbwaga mpinzani wake Athmani Nyamlani kwa tofauti ya kura 20, ambapo alipata jumla ya kura 73 dhidi ya Nyamlani kura 53.

Uchaguzi huo uliofanyika jana (27/10/2013) katika ukumbi wa NSSF Water Front, jijini Dar es Salaam, na kutangazwa usiku.

Blog ya immamatukio inawapa pongezi wapenzi wa soka nchini, Jamal Emil Malinzi pamoja na familia yake.

No comments:

Post a Comment