Monday, July 01, 2013

OBAMA AMSIFU JAKAYA KWA KUIMARISHA DEMOKRASIA NCHINI




 Rais wa Marekani Barack Obama, amemwagia sifa rais wa Tanzania Jakaya Kikwete kwa kuweza kuimarisha demokrasia na amani ya nchi.

Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es Salaam Obama ameweka wazi juu ya uimara wa demokrasia ya kweli ilivyo nchini .

Obama aliweka wazi jitihada ambazo zinafanywa ili kukamilisha mpango mikakati ya maendeleo ya millenium






No comments:

Post a Comment