Monday, July 01, 2013

MICHELLE OBAMA ATEMBELEA WAMA, APOKELEWA NA MAMA SALMA KIKWETE



Wakati rais wa marekani Baraka Obama akizungumza na waandishi wa habari Ikulu mke wa rais huyo Michelle Barack Obama alitembelea  katika ofisi za Wanawake na Maendeleo WAMA

Wakati alipotembelea ofisi hizo alipokelewa na mwenyeji wake  Mwenyekiti wa  WAMA Mama Salma Kikwete katika makao makuu ya taaisis hiyo leo muda mfupi uliopita .

Rais Barack Obama na Mke wake Michelle Obama wako  katika ziara ya siku mbili ya kikazi nchini Tanzania wakiongozana  na watoto wao jioni hii


Picha kwa msaada wa mtandao.




No comments:

Post a Comment