Thursday, June 20, 2013

TUMWOKOE MWAKILISHI WETU ILI TANZANIA ISHINDE

MPIGIE KURA "NANDO"  BIG BROTHER THE CHASE




Mtanzania mwenzetu anaye tuwakilisha kwenye jumba la Big Brother katika shindani la 2013 Big Brother Africa 8 The Chase "Nando"  amewekwa kwaajili ya kutolewa.

Ni kura yako tu ndio itakayomuokoa kuondolewa ndani ya jumba hilo. tafadhali ukiwa kama Mtanzania mwenye uzalendo na nchi yako mpigie kura Mtanzania mwenzetu ashinde kwa kutuma sms mara nyingi uwezavyo.

Kumuokoa piga kura kwa kutuma sms ifuatavyo:-
*      Sms - jina  Nando kwenda 15456
*      Temebelea website
www.bigbrotherafrica.com<http://www.bigbrotherafrica.com> na uingize maelezo yako kisha chagua VOTE & WIN itakupa orodha ya majina ya waliowekwa kwenye orodha ya kuondolewa.


Mpigie kura Nando

Kumbuka kwamba unaweza kupiga kura kila mara moja kwa kila saa moja, piga kura mara nyingi uwezavyo.

Watanzania tunaweza...
Tuhamasishane marafiki, ndugu, jamaa majirani na watanzania wote kupiga kura mara nyingi iwezekanavyo kumuokoa mwenzetu NANDO

PIGA KURA "Nando" KWA NAMBA ZIFUATAZO HAPO CHINI

Country

Short Code

Kenya

22626

Uganda

7626

Nigeria

34350

South Africa

34624

Zambia

414

Malawi

15626

Sierraleone

2626

Zimbabwe

33334

Namibia

15626

Ghana

1474

Botswana

16626

Angola

44555

Ethiopia

8089

Rest Of Africa

(+)2783142100414

No comments:

Post a Comment