Saturday, June 29, 2013

SINZA B QUEEN YAIGARAGAZA ST JOSEPH

 Timu ya netiboll Sinza B Queen yaigaragaza timu ya St Joseph katika fainali ya mashindano vyuoni yaliyofanyika uwanja wa Leaders Club leo mchana ambapo mshindi anayepatikana katika mchezo huo anafuzu kuingia katika timu ya taifa netbolly


Mchezaji wa timu ya Sinza B Queen Rose Jolijo (katikati)akikimbilia mpira, huku mchezaji mwenzie (kulia) akimdhibiti Annamaria Kobel wa timu ya ST. Joseph katika mechi hiyo Sinza Queen aliibuka kidedea kwa magori 28 kwa 2

No comments:

Post a Comment