Friday, June 28, 2013

OCEAN ROAD KUITWA BARACK OBAMA AVENUE

Kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habari jana alisikika Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam alithibitisha Ocean Road sasa itaitwa Barack Obama Avenue.

Pamoja na hilo, Rais huyo wa Marekani atatunukiwa shahada ya Heshma ya Uzamivu na Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania kwa kutambua mchango wake katika maisha ya binadamu kwenye nyanja ya maendeleo ya kiuchumi ya jamii.

No comments:

Post a Comment