Hatimaye Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Kamanda Wilfred Muganyizi Lwakatare 'Lwaks' leo apata dhamana na kurudi uraiani, baada ya Mahakama ya Kisutu kuamua kuwa dhamana yake iko wazi na sasa masharti tu ndiyo yanakamilishwa. Lwakatare ameachiwa kwa dhamana ya Million 10
No comments:
Post a Comment