Thursday, June 06, 2013

LIVE MAKABURINI: LADY JAY DEE ATUMA TWEET KUFUATIA WINGI WA WATU

Umati mkubwa wa watu ukisubiri kushusa jeneza la Marehemu Albert Mangwea, katika eneo la Kihonda Morogoro, dakika chache kabla ya mazishi kukamilika


Juu ni tweet ya msanii Lady JayDee akitoa ushuhuda kuhusu hali ilivyo Kihonda watu ni wengi wakisubiri mwili ufike, chini mlundikano wa watu wakisubiri makaburini





No comments:

Post a Comment