Wednesday, June 26, 2013

HII KALI: WAANDISHI WA HABARI WAKESHA HOSPITALI ALIPOLAZWA MANDELA


Picha hii inaonyesha baadhi ya waandishi wa habari wakiwa karibu katika hospitali alipolazwa Nelson Mandela, kusubili taalifa yoyote ile hali ambayo inaonyesha kukata matumaini juu ya afya ya mzee huyo




No comments:

Post a Comment